Featured Posts

Sunday, May 4, 2014

HIZI NDIZO PICHA ZA SHILOLE NA DOGODOGO WAKE ZILIZOLETA GUMZO INSTAGRAM MPAKA WENGINE WAANZA KUTUKANANA

Mwanadada Shilole ambaye ni Muigizaji, mwanamziki, socialite, nk...Anashutumiwa kuwa rekodi ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana ambao inasemekana amewazidi UMRI...Hivi karibuni kupitia mtandao wa INSTAGRAM, mwanadada huyu amekuwa akipost picha zenye utata..zikiashilia yuko kwenyemahusiano na kijana mmoja (jina lake halikufahamika)...Sasa hizo picha ndio hasa chimbuko la wadau kuanza ku-comment- positively na negatively.....!!!

TUMEAMIA HUKU