Ni msimu wa dhababu unaoendelea kuusambaza
upendo… Tour ya Serengeti Fiesta 2014
inaendelea kwenye mikoa mbalimbali ambapo
Ijumaa hii ni hapa 98.6 Musoma na Jumapili ni
Shinyanga 87.5 kote huku kukiwashuhudia live
kwenye stage wakali kama Nay wa Mitego,
Roma, Recho, Nikki wa II, Stamina, Young Killer,
Shilole, Chege na Temba na wengine.
Hiki utachokiona kwenye hii picha hapa chini
kilifanyika Moshi weekend iliyopita ambapo Fid
Q na Stamina walifanya suprise na kumuita
huyu mrembo kwenye stage, ukishamaliza
kuitazama niambie nani katisha.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia
mtu wangu na niko tayari kukutumia
wakati wowote iwe usiku au mchana
iwapo utakua umejiunga na mimi kwa
kubonyeza hapa