Featured Posts

Monday, September 22, 2014

HAPATOSHI BIG BROTHER MWAKA HUU, TAZAMA MREMBO AMBAYE ATAKUA MC SIKU YA TUKIO, TAZAMA PICHA HAPA

shindano la big brother season 9 litakalo anza rasmi tarehe 5 mwezi wa kumi, limetangaza mrembo Vimbai kutoka zimbambwe kuwa mc  katika siku ya ufunguzi wa shindano hilo,
washiriki wa shindano hilo ni kutoka chi za  Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia, Zimbabwe na mshiriki kutoka nchi ya  kwanza kuingia big brother Rwanda.

TUMEAMIA HUKU