Katika vijana ambao wanatakiwa wawe mfano wa kuigwa hapa tanzania huwezi kusaha hii crew ya XXL ya clouds fm, vijana hawa huwa hawaridhiki ni watu wakutafuta bila kuchoka huku wakiibuka na idea za kuingiza mkwanja kila kukicha, ukiachana na kazi ya ambayo ni rasmi ya utangazaji, vijana hawa wameweza kuudhihirishia uma kwamba vijana wanaweza kuutumia mda wao wa nje ya kazi kujiingizia kipato cha ziada badala ya kutegemea ajira yao pekee, ngoja tukupe dondoo fupi kuhusu vijana hawa
B12
huyu ndiye muongozaji wa kipindi cha xxl, AMEWEZA KUJIKUSANYIA KIPATO CHA ZIADA KWA KUJISHUGHULISHA NA SHUghri mbali mbali za kiuchumi ikiwemo kumiliki lebo ya ngu ya born to shine pamoja na kuwa mc katika maevent mbalimbali
DJ fetty
huyu nae kama walivyowenzake pamoja kwamba ni mwanamke lakini ni mpiganaji balaa, huyu mc na pia ni dj wa club mbali mbali jijini da ikiwemo eskape 2, na pia anamiliki website ambayo imejizolea umaarufu kutokana na kuwezesha vijana kudownload nyimbo na kupata habari za wasanii
Adam Mchonvu
huyu yeye ni mtangazaji lakini ana kipaji cha kurap pamoja na kupiga free style na ameweza kuuza sana ngoma zake hapa bongo ikiwemo ile ngoma iliyomtambulisha ya bwana shamba.
mwandishi wa makala hii anapenda kuwaasa vijana kutobweteka na kuridhika na kazi moja bali, kupigana na kuwa na vitega uchumi vingi kama ilivyokwa vijana hawa.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...