Huyu Stevie Nyerere mbona mwenzenu simuelewi,namuona tu na kimbelembele chake na kujikwezakweza aonekane na yeye yumo.Hivi anafanya kazi gani ya kuonekana inayomfanya ajione yumo kiasi hicho au fans wake ni kina nani?Naona kama muonekano wake unamkataza kabisa kuwa Celebrity ila yeye kama analazimisha hivi au?.