Lemutumbaz'' bila hata aibu kapost hii picha yake ya pamoja na shilole kwenye kile kiblognuka chake'' aibuuuu'' sasa wewe na akili zako timamu utapost vipi picha kama hii? na kujiringishia you are live''' and so on and on? ikiwa watu aka mabebez wakujilazimishia picha za pamoja hawataki ''wewe kajidondoshe
baharini''mbuta nanga'' ni shida!!yani hapa hii picha haitakiwi wala niiongezee maneno maana inasema wazi kwamba shilole hataki kumsikia wala kumuona na tenapicha hii alidhani kwamba ange delete maana kafunga macho''lakini mlazimishaji yeye bado bila aibu kairusha live mitandaoni '' ili mradi aonekane nae yumo'' achiangazi babu tafuta namna ya kurudi marekani ukatunze mkeo na watoto ''ulowakimbia kule'' yani ni laana tupu lijibabu kukimbia watoto wake alowazaa''i wonder who will ever take that serious risk yakuolewa au hata kuzaa na wewe jibabu lakukimbia watoto wake'' huku hata kazi halina na bado linaishi kwa baba '''kyindo kya kite mcho''