dingi mmoja wa makamo HAPA MKOANI ARUSHA Amejikuta katika aibu nzito baada ya kufumwa akiwa na mke wa rafiki yake gesti wakivunja amri ya sits bila ya kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile juu ya kitendo hicho, sakata hilo lilizuka baada ya mke wa dingi huyo kwenda kazini asubuhi huku akimuacha mume wake akidai hawezi kwenda kazini kwani anajisikia ovyo kiafya, mara baada ya mke kuondoka kwa mda kama wa nusu saa aliweza kurudi ghfla kwani alisahau baadhi ya document za kazini kwake na ndipo alipowakuta wawili hao wakiponda raha, mama huyo alipigakelele ndio majirani wakafika eneo la tukio na kusuruhisha sakata hilo,
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...






