INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwamba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu
BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI !.
Yani amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi .