Featured Posts

Monday, September 8, 2014

KUMBE NDO YUKO HIVI:TAZAMA PICHA 5 ZA MZOGA WA NYANGUMI MKUBWA ALIYEPATIKANA HUKO MTWARA

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo






TUMEAMIA HUKU