Featured Posts

Sunday, September 7, 2014

UNAAMBIWA HII NDIYO HARUSI YA MBONGO ILIYOTETEMESHA DUNIA

Limo ya maharusi na wapambe kwenye harusi ya Salome na Emmanuel iliyofanyika Atlanta, Georgia siku ya Jumamosi Sept 6, 2014 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Maharusi wakitoka kanisani baada ya kula kiapo cha "YES I DO"
Bwana harusi akimsaidia mpenzi mke wake kushuka ngazi baada ya ndoa yao iliyofungwa jijini Atlanta Georgia siku ya Jumamosi Sept 6, 2014.
Bwana na Bibi harusi wakitoka kanisani
Bwana na Bibi harusi hao wakiondoka.
Watoto wa Bwana na Bibi harusi nao wakitoka kanisani baada ya kushuhudia siku hii muhimu ya wazazi wao walipofunga ndoa.

TUMEAMIA HUKU