Licha ya kwamba wazungu ndio wanaongoza kwa kuwa wabunifu zaidi Dunia lakini hii imetia fora kutoka Shanghai China,wamefanikiwa kuanzisha teknolojia mpya ambayo inawawezasha maharusi kufunga harusi chini ya maji ambayo yamejazwa kwenye Tenki ambako wanapigiwa picha kwa jaili ya ukumbusho.Tenki hilo huwa na maji ya vuguvugu ambapo pia wanatumia vipozi vya tofauti kabisa visivyoweza kuaharibiwa na maji kabisa
Zitazame picha hizi zikiwa ni moja ya harusi iliyowahi kufanyika kwenye maji kutoka shangai China |