Hit Maker wa ‘pombe yangu’ na ‘tema mate tuwachape’ leo ametoa Exclusive picha kupitiamillardayo.com kuhusu mjengo wake ambao upo Mbezi ya Kimara Dar es salaam na umechukua miaka 5 mpaka kumalizika.
Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room ambapo kuhusu gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa harakaharaka amedai ni kama milioni 100 za kitanzania.