Featured Posts

Sunday, September 7, 2014

TAZAMA PICHA DADA HUYU APAGAWA NA SHOW ZA DOGO ASLAY NA KUMVAMIA STEJINI NA KUMKATIKIA MIUNO

AY, MWANA FA, CHEGGE, TEMBA, DOGO ASLAY WAFANYA ‘KURUFU’ DAR LIVE
KITUO cha maraha cha Dar Live kilichoko Mbagala jijini Dar kilirindima kwa vifijo vya burudani ya muziki kutoka vikundi mbalimbali vya wasanii.
Ilikuwa ni ‘kufuru tupu’ wakati wasanii AY akishirikiana na Mwana FA walipotoana jasho na wenzao kina Chegge na Temba kutoka katika kundi la Wanaume Family yote hayo yakisindikizwa na burudani kutoka kundi la taarabu la East Africa Melody, Wakali Dancers, Dogo Asley, Shilole na bendi ya muziki wa dansi ya African Stars 'Twanga pepeta..

TUMEAMIA HUKU