Featured Posts

Monday, September 8, 2014

LULU ADAIWA KUWA NA UBABE NA KISIRANI CHA KUTODUMU NA MWANAUME, TAJIRI WA MADINI ASALIMU AMRI. TIRIRIKA NAYO HAPA


Uwoya Star wa filamu Swahiliwood, Irene Uwoya inadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu. Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene bali hupenda wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvtiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza na Swahiliworldplanet jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda wanaume wenye vifua vyawanaume BOFYA HAPA KUONA ZAIDI

TUMEAMIA HUKU