Featured Posts

Monday, September 8, 2014

BREAKING NEWS. ABIRIA WA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS WANUSURIKA KIFO BAADA YA MABUS HAYO KUGONGANA MDA HUU

Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.
Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi.  Hata hivyo Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

TUMEAMIA HUKU