kama we ni mpenzi wa soka utakua unamjua huyu chipukizi.. ngoja tukujuze sasq huyu anaitwa rani khedira mdogo wake wa damu kabisa sami khedira wa real madrid. chakustaajabisha ni kwamba hawajamaa wote ni viungo wakabaji . rani anacheza bundesliga katika timu ya stutgurtt na yuko timu ya taifa ya ujerumani. kwa kuongezea tu ni lwba hawa jamaa baba mtunisia mama mjerumani