kwa ambao hawajui mario balloteli amezaliwa nchini italio mjini palermo na wazazi wake mama yake akiitwa rose ambaye maisja yqo yalikuwa ni dhiki sana.. mpaka.kufilia kumlabidhi mario kwa wazazi bao walimadopt ili kuweza kumlea. pia wakati mdogo mario utumbo wake ulikua na shida mpaka kulazimika lubatizwa akiwa hospital kuhofia akifa asiwe mwenye dhambi. pqmoja na magumu yote hayo mario ameweza kusurvive na hatimaye kuwa staa.mkubwa leo hii. ama h akika kama ipo ipo tuuuu. tazama picha hapa