Featured Posts

Wednesday, September 10, 2014

JAMANI MUME WA MTU MBONA HANIACHI DAH MWAKA WA SITA SASA HUU

Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk
sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu
tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi
kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye
yupo single, amekuwa akinisaidia sana katka
maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie
mshaur wangu hata iweje yupo mbele yangu
kunijali ananipenda sana mara nyingne
nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy
ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima
nitakuwa na familia Yang tutaishi maisha haya
mpk lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6
najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye
anapigana kutokuniacha mke wake mpk leo
hajui kama mume wake ana mchepuko nje,
nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha
yangu nimpata mume wangu nitamtumikia
huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia
mbadala matata ili niachane naye

TUMEAMIA HUKU