Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe
na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na
msichana asiye na umaarufu wowote.
Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya
mrembo wake mpya kwenye Instagram na
kuandika: “My 1st & only # WCW #Rapcellency
#TrulyUnruly .”