Featured Posts

Thursday, September 11, 2014

HUSISHANGAYE YA DOGO ASLEY KUSIMAMISHA JOGOOSTEJINI, KUNA NA HUYU HAPA PIA

Ilikua mwaka 2011 katika tuzo za American Music Awards ambapo msanii Pitbull alipanda stejini kuimba na Jeniffer lopez ambapo siku hiyo J-lo alikua ametupia kigauni matata na kumfanya pitbull ashindwe kujizuia na sehemu ya katikati ya nguo yake kuvimba ghafla.
pitbul-kadinda-jlo

Hii  sasa nayo imetokea hapa juzijuzi kwa dogo aslay wa yamoto band ambapo alipokua anaimba stejini alipanda mdada wa hataaari na kumuacha dogo akifanya alichofanya pitbull mwaka 2011. Duh ! Noma sana aisee….


Dogo-aslay-kadinda-stejini

TUMEAMIA HUKU