Featured Posts

Thursday, September 11, 2014

AJALI ZAZIDI KUTIKISA TANZANIA, NYINGINE YATOKEA HII LEO SINGIDA

Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa.

TUMEAMIA HUKU