amani kwa wale wageni wa jiji msishangae sana kwa sababu haya ndio mambo yanayoendelea kwa kasi sana ndani ya Nightclubs kilausiku. Watu wananyonyanaga ndimi na kutiana madole na wakati mwingine kugongana kabisa ndani ya Clubs hizo!!!Sijui tunaelekea wapi jamani kwa maana hali si hali. Watu wanafanya sana ufuska kiasi kwamba mpaka ninaogopa kuwa kizazi chetu kimezidi kile cha Sodoma na Gomora kwa uovu uliokithiri!! yani ni balaah juu ya balaah aisee
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...