Featured Posts

Monday, September 8, 2014

HABARI PICHA, RECHO NA SHISHI BABY WAACHA GUMZO FIESTA MUSOMA, TAZAMA HAPA




Recho na Shilole wakiwa katika pozi.Nick wa Pili akiwakilisha familia nzima ya Weusi.Shilole akiwadatisha mashabiki jukwaani.Christian Bella 'Rais wa Masauti' akivuma ndani ya Uwanja wa Karume.Mkali wa Hip Hop, Roma akiliteka jukwaa ndani ya Mji wa Musoma.Kijana kutoka pande za Morogoro, Stamina akidondosha mistari yake ya Hip Hop kwa umahiriStamina na Nay wa Mitego wakiimba kwa pamoja wimbo wao mpya wa Huko Kwenu Vipi. 

TUMEAMIA HUKU