Featured Posts

Thursday, September 18, 2014

BIG BROTHER AFRICA: TAZAMA WASHIRIKI WATATU WA KWANZA WALIOTAMBULISHWA RASMI KUSHIRIKI ,

Moja kati ya reality show ambazo zinapendwa na watu wengi sana africa nzima big brother africa ambayo inategemewa kuanza rasmi hivi karibuni,, uongozi wa shindano hilo wamewaeka wazi baadhi ya washiriki wa shindano hilo, washiriki watatu wa kwanza kuwekwa wazi ni kutoka uganda, kenya pamoja na zimbabwe,, chukua mda wako kuwatazama hapa pia tutazidi kukuhabarisha kila kinachotokea ndani ya jumba hilo ambapo shindano linaanza rasmi tarehe tano mwezi wa kumi, husiache kutembelea hapa kila siku, 





TUMEAMIA HUKU