msanii wa dansi kutoka congo ambaye kwa mda mrefu amekuwa akidaiwa kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, hatimaye aliweka wazi na kufunguka kuwa hajawai kuwaza kuhusu tabia hiyo na kusema kuwa na rijali kabisa, fally alisema hayo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha
television nchini humo, fally ambae amewahi kuwa katika bendi ya Koffi Olomidé, Quartier Latin International, tangu mwaka 1999-2006 amifanikiwa kutanua wigo wa mziki wake africa na ulaya kwa ujumla ambapo amefanikiwa kufanya colabo na baadhi ya wasanii ikiwemo Olivia ambae alikua katika group la G-unit pamoja na ule wimbo wa jugpa aliomshirikisha J martinz ambao ulibamba sana klabu za
hapa bongo