Featured Posts

Wednesday, May 21, 2014

SABABU YA WEMA KUMPIGA BUSU MTANGAZAJI HUYU HIZI HAPA


Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager wake  Martin Kadinda , sasa ni zamu ya Mtangazaji wa kipindi cha 5 Select ya East Africa TV (Channel 5) , Tonny Albert (tbway360) kupata upendo wa wema.

TUMEAMIA HUKU