Featured Posts

Friday, May 9, 2014

MWEZI WA AJALI,DAR EXPRESS DAR TO NAIROBI IMEANGUKA WAMI


MWEZI WA AJALI:
Dar Express from Dar to Nairobi imeanguka Wami dakika chache zilizopita...
Kama kawa Wabongo badala ya kusaidia majeruhi wanatwanga picha mwanawane ili wawahi fesibuku...
Kizazi cha KANTANGAZE!
Habari Kamili Baadae

TUMEAMIA HUKU