Featured Posts

Saturday, May 24, 2014

MAJANGA: BAADA YA DIVA KUANIKA KIFUA CHAKE LULU NAYE AMJIBU KWA KUANIKA KIFUA CHAKE TAZAMA PICHA HAPA NOMA SANA

Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo.  leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.

Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??


TUMEAMIA HUKU