Featured Posts

Monday, May 19, 2014

HUYU NDIYO KOCHA MPYA WA MIAMBA YA SOKA DUNIANI, BARCELONA

Kocha mpya wa Barcelona, Luis Enrique Martínez García.
BODI ya wakurugenzi wa timu ya FC Barcelona imethibitisha kuwa Mhispania Luis Enrique Martínez García ndiye kocha mpya wa timu hiyo.
Enrique mwenye umri wa miaka 44 aliyewahi kuichezea klabu hiyo akitokea kwa mahasimu wao Real Madrid mwaka 1996, atasaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake jijini Barcelona.

TUMEAMIA HUKU