Featured Posts

Thursday, May 8, 2014

HUYU NDIYE MSANII ALIYEDAI KUWA NI BIKRA NA KUINGIA KWENYE SKENDO ZA KUSA**G**NA NA MWANAMKE MWENZAKE ...SASA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA



Iliwahi kuripotiwa hapo awali kuwa Diana Kimario anajihusisha na maswala ya usagaji, na kabla ya hapo aliwahi kutamka mwenyewe kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanamme yeyote tangu azaliwe, vile vile Diana aliwahi kunukuliwa akisema kuwa "Kamwe siwezi kumvulia ch*pi mwanaume aliyetembea na Lulu Michael ambaye ni shoga yake kipenzi"  Jana kupitia mtandao wa instagram Diana aliachia picha akivalishwa pete, Haijulikani kama ndiyo kweli amevalishwa au ni maigizo yao


TUMEAMIA HUKU