Featured Posts

Tuesday, May 20, 2014

DAH MSANII GK ACHAPIWA LIVE, DIVA LIVE APIGWA DENDA NA SHABABI MWINGINE , ADAI GK SIO MSWAHILI HAWEZI KUCHUKIA



Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo; 
"handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol"
...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA

TUMEAMIA HUKU