Picha tata za aina yake za mwanadada ambaye ni SOCIALITE mweusi kutoka UnitedStates of America (USA), Ravie Roso, zimemfanya mdada apate Followers wengikwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM...SOCIALITE huyu ambaye ana umbo matata amekuwa anapiga picha za mtindo wakuonyesha mapaja na miguu tu....style hii imewambamba wengi (hata mimi).....Jionee mwenyewe picha hizi...Then niembie kama zimekubamba au?