Featured Posts

Wednesday, May 21, 2014

AIBU, MREMBO AMWAGA RADHI KWENYE KICHENI PATI BAADA YA KUPIGA MITUNGI

Hii ilitokea kwenye kitcheni Pati Moja iliyofanyika Maeneo ya Mbezi ...Dada alifika hapo nakuanza kufakamia Pombe na Mwishowe zikamtenda kama unavyoona hapo...wadada wengine wakimchezea na kumpiga picha picha....Pombe noma

TUMEAMIA HUKU