Adelaida Seenga mshindi wa Miss Dodoma 2014 akiwa na washindi wenzake, Wagesa Mshindi wa pili kulia pamoja a Linda mshindi wa tatu kushoto.
Adelaida Seenga akiwa katika pozi la furaha mara baada ya kutangazwa kuwa Mshindi.
Hatimaye mashindano ya kumtafuta mrembo wa Dodoma mwaka 2014 yamefanyika usiku wa kuamkia leo tarehe 31.05.2014 katika ukumbi mpya wa Kilimani Landmark ambapo mshindi wa mwaka huu Adelaida Seenga ndiye aliyeibuka kidedea...