Featured Posts

Monday, September 15, 2014

UMEWAONA MASHABIKI WANNE BORA KATIKA MECHI YA JANA DHIDI YA YANGA NA AZAM

Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya timu yao na Azam FC. Yanga ilishinda 3-0.
Aliyekuwa shabiki wa Yanga SC, Steve kulia akiwa na jezi ya Azam jana kuashira amehama timu. Umaarufu wa Steve ulikuja baada ya kulia kufuatia Yanga SC kufungwa 5-0 na Simba SC mwaka juzi
Mashabiki wa Azam FC jana
Shabiki la Azam kwa raha zake jana Taifa
Shabiki la Yanga SC jana Taifa

TUMEAMIA HUKU