hii mikorogo ambayo wasanii wa kibongo wanatumia.hvi wanajua madhara yake.ya badae. maana kuna maisha baada ya usanii na kuna maisha ya uzee je utaendelea kupiga mkorogo?? tazama kama kwa mfano dyna alikua black beuty kabisa lakini sasa.daaahh. any way anavutia