Featured Posts

Sunday, September 7, 2014

T.I AKASIRISHWA NA TABIA YA MKEWE KUJIACHIA HOVYO MITANDAONI, ANGALIA ALICHOFUNGUKA HAPA.

Inaonekana T.I hakubaliani na vile ambavyo mke
wake anavyojiachia na kuuonyesha mwili wake
kwenye mitandao ya kijamii na watu wote kuona.
Rappa huyo milionea ambaye pia muandaaji wa
muziki wa hip hop anaonekana kuchukizwa na
vitendo hivyo vinavyofanywa na mke wake.
Toka tetesi zilipoanza juu ya T.I. na Tiny kuwa na
matatizo kwenye mahusiano yao, Tiny amekuwa
akiweka picha zinazoonyesha maumbile yake
kupitia Instagram.
Mnamo siku ya jumapili, T.I alionekana
kukasirishwa zaidi na kuamua kuandika kwenye
sehemu ya comment katika kumkumbusha Tiny
akimwambia, ana kitu ziada kukitoa zaidi ya
makali0 yake.

TUMEAMIA HUKU