Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo wa kufanyaMAPENZI
kinyume na maumbile ni kama ifuatavyo:-
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (PROSTATE GLAND).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (PROSTATE GLAND).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).