Featured Posts

Tuesday, September 9, 2014

SABABU ZA LULU KUTODUM NA WANAUME ZAWEKWA HADHARANI.. HIVI NDIVYO VINAVYOMPONZA

New gossip zinasema kuwa star wa filamu
nchini aliyejaaliwa mvuto pia Lulu
El i zabeth Michael hadumu na mwanaume
sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka
kum-control mwanaume anayekuwa nae.
Inadaiwa Lulu hataki mchezo mwanaume
akishakuwa nae basi lazima ahakikishe
hafurukuti.
Inadaiwa kuwa hivi miezi ya karibuni
alikuwa na jamaa mmoja mdogo
kimapenzi akamwaga na baada ya muda
akawa anatoka na tajiri mmoja k i jana wa
madin toka Arusha lakini tajiri huyo
alinyoosha mikono juu baada ya Lulu
kama kawaida kuruhusu majeshi yake
yam-control jamaa huyo. Chanzo kimoja
kikizungumza na Sani kilisema "
"Ni mtu mwenye isirani kwa wanaume,
hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni
wale wavumilivu sana, nadhani ana
matatizo ambayo yanahi taji mtaalam wa
saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu
hachelewi kuvnja simu na kurejesha kila
kitu alichokuwa amepewa" kilisema
chanzo hicho kilichodai ni mshikaji wa
karibu na Lulu.

TUMEAMIA HUKU