Gal on fire she is back again staa irene uwoya, she was quite for a while, lakini ujio wake mpya alokuja nao umekuwa wa kishindo n people were so suprised, kiukweli to staaz kuvaa taulo na kupiga picha akivaa taulo na kutupia kwenye mitandao ya kijamii ni jambo la kawaida sana, leo mtandao wa makubwa haya tumezinyaka picha hizi kwenye mitandao ya jamii, na funs wakawa wanacoment, kuna wengine walicoment kawaida wengine waliponda, but all in all kwa mastaa kama irene uwoya kuvaa taulo haunikama ni ki2 cha ajabu coz everybody do so. Alisikika akimalizia kisema hvyo kwa funs wake.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...