Featured Posts

Saturday, September 13, 2014

OMMY DIMPOZI KUFURU, TAZAMA JINSI ALIVYORAMBA UTAMU WA DADA HUYU STEJINI, KAMA DEMU WAKE VILE

Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki waliofurika ndani ya Uwanja wa Kambarage.
Nyomi ya watu ikipiga shangwe la kufa mtu uwanjani hapo.
Ommy Dimpoz akicheza na mmoja wa mashabiki wake.
Ommy Dimpoz akiwa amembeba shabiki wake baada mzuka wa shoo kukolea.

TUMEAMIA HUKU