Featured Posts

Wednesday, September 17, 2014

MR NANA, TREY SONGZ NDANI YA DIMBWI LA MAHABA NA MSANII HUYU WA KIKE

Mr. Nana, Trey Songz ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji wa RnB ambaye pia ni rapper wa kike, Mila J.
E!News imethibisha kuwa wanamuziki hao ni wapenzi na wamekuwa wakionekana pamoja kwenye hafla mbalimbali.
Trey Songz na Mila J walionekana katika shughuli ya Ne-Yo Ijumaa iliyopita na mashuhuda walieleza kuwa waliwaona wakiwa katika poz za mahaba na mara nyingine walikuwa waki-kiss.
Trey Songz alichochea tetesi hizo kwa kupost picha kwenye Instagram akiwa na Mila J na kuandika ‘She so fine’.
Tayari Trey Songz na Mila J wameshashirikiana kwenye wimbo wa ‘Disrespectful’ kutoka kwenye albam ya Trey Songz ‘Trigga’.
Mila J anafanya vizuri na wimbo wake ‘Smoke, Drink, Break Up’.

TUMEAMIA HUKU