Featured Posts

Thursday, September 11, 2014

KISANGA KILICHOTOKEA COCO BEACH, KAJANA AIBA NDINGA HOME NA KUMPA DEMU WAKE, HIKI NDICHO KILICHOWAKUTA

Imetokea Mitaa ya Coco Beach DAR
Imetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake akaenda nalo BEACH alipofika kwa mbwembwe akamkabidhi DEMU wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA bana si akalipandisha milimani kule kwa mwedo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.
Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaga sana na mchizi naekavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono daaaah Mbwembwe hazifai.
Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATICHAPATI aliangua kilio kama kafiwa na mumewe.
NB: Imewekwa kama ilivyotumwa. 
CREDIT:GONGMIX

TUMEAMIA HUKU