Featured Posts

Saturday, September 6, 2014

KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB PICHA ZIKO HAPA

Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar.
Mnenguaji wa Khadija Kopa akifanya yake stejini.
Nyomi iliyofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu.
Khadija Kopa akiwadatisha mashabiki wa Kili, Leaders Club.

TUMEAMIA HUKU