Featured Posts

Monday, September 8, 2014

FUATA HATUA HIZI KUNIPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA CHANNEL O,CHOAMVA2014 ZAWADI KIBAO ZIMEANDALIWA

#CHOAMVA14 Nominees

Nina kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa kila hatua mpya ninayoipiga,pasipo kuwasahau nyinyi mashabiki wangu wapenzi mnaonipa sapoti inayonipa nguvu kwa kile ninachokifanya..Tuzo kubwa barani Afrika za Channel O 2014  Zijulikanzo kama,Choamva zimewadia,na kupitia vuideo ya number 1 nimechaguliwa kuwania tuzo katika vipengere vinne(4) 
ambavyo ni pamoja na 
MOST GIFTEDVIDEO OF THE YEAR, 
MOST GIFTEDNEWCOMER, 
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA..

ni hatua na fursa nyingine njema kwa muziki wetu  kuzidi kutambulika ,hivyo tushilikiane kwa pamoja 
kunipgia kura  kwa kubonyeza hapa VOTE HERE ,kisha chagua kila category niliyopo,utaombwa kujirejista baaada ya hapo utaweza kunipigia kura mara nyingi uwezavyo.
pia njia nyingine kwa wenye smart phones go to app store/ googleplay download we chat app kisha tengeneza plofile na u search channelotv na uanze kupiga kura.unaruhusiwa kuvote hata mara 100, soon ntatangaza zawadi kwa mashabiki wangu 

TUMEAMIA HUKU