Featured Posts

Monday, September 8, 2014

BREAKING NEWS!!! AJALI NYINGINE YATOKEA GAIRO MOROGORO NA KUHUSISHA BASI LA AIRBUS SOMA ZAIDI HAPA

 
Habari za hivi punde kutoka Mkoani Morogoro zinapasha kuwa basi la Kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali muda si mrefu eneo la Kiegeya Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.
Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP)Faustine Shilogile ameiambia PRINCEMEDIA TZ  kuwa ni kweli kuna ajali nae yupo eneo la tukio.
"Ninaomba unitafute baade kidogo kwa taarifa kamili kwa sasa nipo eneo la ajali huku Gairo," alisema SACPShilogile.
  Tutakujuza zaidi kuhusiana na tukio hilo ambalo linaelezwa kugharimu uhai wa watu zaidi 10

TUMEAMIA HUKU