ZA mwizi arobaini aliyebuni Camera anasababisha kizaazaa jamani. Kila siku kukicha watu wanabadili matendo na kuanza kufanana na wanyama, Cheki hawa hapa walianzia Nyumbani matokeo yake wameona nyumbani hapafai wameenda kuwazongazonga wanyama pori.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...