Featured Posts

Saturday, September 13, 2014

HUZUNI TELE:MTU MMOJA AFARIKI KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA SHINYANGA.


Mwili wa mussa shija ukiwa kwenye chumba cha kuifadhia maiti kwenye hospitali ya mkoa wa shinyanga. 

Vyanzo vya habari vimesema kuwa marehemu shija alifariki baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani wakati akiwa kwenye tamasha hilo usiku wa ijumaa. Uchunguzi  wa kitaalamu umebainisha kwamba marehemu alipasuka fuvu la kichwa, tamasha hilo lilifanyika katika  uwanja mdogo wa kambarage Mjini Shinyanga.

Marehemu shija ni mkazi wa chibe manspaa ya shinyanga ametambuliwa na ndugu zake.

TUMEAMIA HUKU