Featured Posts

Wednesday, June 4, 2014

TAZAMA PICHA: GARI YAGONGA MLANGO WA BENKI YA CRDB, MOROGORO 5:57 PM

Gari limegonga mlango wa kioo wa kwenye Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alishindwa alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Picha na Taarifa News.
Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. 
Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD . 

TUMEAMIA HUKU