Featured Posts

Wednesday, June 18, 2014

TAZAMA HAPA YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YA JUX - NITASUBIRI



Msanii wa Bongo Fleva, Jux akitoa burudani kwa mashabiki wake usiku wa kuamkia Juni 16, 2014 Club Billicanas wakati akizindua Video yake mpya ya Nitasubiri.

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akiimba wimbo wake wa Closer ndani ya Billicanas.
Mashabiki wakifuatilia burudani ndani ya Club Billicanas.
Mtangazaji wa Clouds FM, Hamis Mandi 'B12' aakiongoza burudani wakati wa uzinduzi.
Msanii wa Bongo Fleva, Mirror ambaye amesainiwa chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu akiwapa burudani mashabiki wake.
...Mashabiki wakijiachia katika red carpet kabla ya show.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Jux usiku wa kuamkia Juni 16, 2014 alizindua video yake mpya iitwayo 'NITASUBIRI' ndani ya Klabu Billicanas jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa na mashabiki kibao wa burudani, ulipambwa na shoo kali kutoka kwa wasanii Vanessa Mdee, Young D, Mirror na wengineo.

TUMEAMIA HUKU